Joji Limniota
Joji Limniota (635 - Mlima Olimpo, Bitinia, leo nchini Uturuki, 24 Agosti 730 hivi) alikuwa mmonaki Mkristo tangu ujanani ambaye, alipofikia umri wa miaka 95 aliuawa kwa kukatwa pua na kuchomwa moto kichwa kwa sababu alimlaumu kaisari Leo III wa Bizanti, adui wa picha takatifu na wa masalia [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |