Juldeh Camara
Juldeh Camara (alizaliwa Basse, Gambia, 1966) ni griot, vilevile ni mwanamuziki wa blues ambaye ametokea kwenye albamu 21. Anajulikana kwa ustadi wake wa kucheza na kwa kushirikiana na wasanii wa Ulaya na Afrika. [1] [2]
Orodha ya kazi za muziki
haririJuldeh Camara ametokea kwenye albamu zifuatazo: [1]
- Ancient Heart - Mandinka & Fula Music of the Gambia (1990)
- Tramp (1993)
- Klapp (1995)
- Hiptodisiac (1997)
- Dee Ellington (1997)
- New York Paris Dakar (1997)
- Gis Gis (1998)
- Millenium Drum Salute (1998)
- Kairo Sounds of the Gambia, various artists (Arch Entertainment, 1999)) [3]
- Moto Moto, Batanai Marimba (2000)
- Mudzimu Mudzimu, Batanai Marimba (Sterns, 2002) [4]
- Madirisa, Daykil Chosan Group (2003) [5]
- ZubopGambia Live, ZubopGambia (2004)
- The Drummer, Boka Halat (Taps, 2004)
- Afro-Mandinka Soul, Seckou Keita Quartet (ARC Music, 2006) [6]
- Soul Science, Justin Adams and Juldeh Camara (World Village Records, 2007) [7]
- Kanaké, Ebraima Tata Dindin Jobarteh (2008) [8]
- Tell No Lies, Justin Adams and Juldeh Camara (Real World Records, 2009) [9]
- The Trance Sessions, Justin Adams and Juldeh Camara (Real World Records, 2010) [10]
- In Trance - JuJu (band of Justin Adams and Juldeh Camara) (Real World Records, 2011) [11]
- Traders, Julaba Kunda, Juldeh Camara, and Griselda Sanderson (Waulk Records, 2011) [12]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 http://www.worldmusic.co.uk/juldeh_camara WorldMusic.co.uk Juldeh Camara
- ↑ "Gig review: Justin Adams and Juldeh Camara", The Scotsman, 22 January 2010. Retrieved on 16 December 2012.
- ↑ "Kairo: Sounds of the Gambia - Various Artists | Songs, Reviews, Credits | AllMusic". AllMusic. Iliwekwa mnamo 2018-04-18.
- ↑ "Batanai Marimba: Mudzimu Mudzimu - Sterns: KONICD002 | Buy from ArkivMusic". www.arkivmusic.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-04-18. Iliwekwa mnamo 2018-04-18.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-02-23. Iliwekwa mnamo 2022-05-15.
- ↑ Seckou Keita Quartet: Afro-Mandinka Soul, ARC Music, 2014-02-25, iliwekwa mnamo 2018-04-18
- ↑ Denselow, Robin (2007-09-27). "CD: Justin Adams and Juldeh Camara, Soul Science". the Guardian (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-04-18.
- ↑ KANAKE', SAM 9016, 2012-03-26, iliwekwa mnamo 2018-04-18
- ↑ "Tell No Lies » Real World Records - World music label". realworldrecords.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-04-18.
- ↑ "Album Search for "the trance sessions"". AllMusic (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2018-04-18.
- ↑ "JuJu » Real World Records - World music label". realworldrecords.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-04-18.
- ↑ https://www.amazon.com/Traders-Julaba-Juldeh-Griselda-Sanderson/dp/B00PO4WJW4
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Juldeh Camara kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |