Julio wa Silistra
Julio wa Silistra (255 hivi - Silistra, Mesia, leo nchini Bulgaria, 302 hivi) alikuwa askari mstaafu[1] wa Durostoro aliyeuawa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[2].
Baada ya kukamatwa, alipelekwa kwa gavana Maksimo; mbele yake akadharau miungu na kumkiri kwa imara kubwa Kristo; kwa sababu hiyo alihukumiwa kupewa adhabu ya kifo[3].
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Musurillo, Herbert (1972). The Acts of the Christian Martyrs. Oxford: Clarendon Press. uk. xxxix, 260-265. ISBN 0198268068.
- ↑ Julius von Dorostorum
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/54860
- ↑ Musurillo, Herbert (1972). The Acts of the Christian Martyrs. Oxford: Clarendon Press. uk. xxxix, 260-265. ISBN 0198268068.
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Marejeo
hariri- L. Arik Greenberg: My Share of God's Reward. Exploring the Roles and Formulations of the Afterlife in Early Christian Martyrdom, Reihe: Studies in Biblical Literature - Band 121, Lang, New York, Bern, Berlin, Bruxelles, Frankfurt am Main, Oxford, Wien 2009, ISBN 978-1-4331-0487-9, S. 195–198.
Viungo vya nje
hariri- Julius the Veteran at Patron Saints Index
- Saints of May 27 Archived 8 Januari 2020 at the Wayback Machine. at St. Patrick Catholic Church in Washington D.C.
- Julius von Dorostorum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |