Julius wa Novara
Julius wa Novara (Egina, leo nchini Ugiriki, karne ya 4 - kisiwa cha Mt. Julius, karibu na Novara, Piemonte, Italia, 401 hivi) alikuwa padri mmisionari[1].
Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2].
Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 31 Januari[3].
Maisha
haririAlihama kisiwa alichozaliwa pamoja na ndugu yake Juliano akafanye umisionari; hatimaye akahamia Italia Kaskazini alipoinjilisha na kubatiza Wapagani waliokuwepo bado na kugeuza mahekalu yao kuwa makanisa, pamoja na kujenga mengine mengi.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/39190
- ↑ Ὁ Ἅγιος Ἰούλιος ὁ Πρεσβύτερος ἐξ Αἰγίνης. 31 Ιανουαρίου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
hariri- Saints of January 31: Julius of Novara Archived 1 Agosti 2017 at the Wayback Machine.
- [1] Archived 25 Septemba 2021 at the Wayback Machine. Storia di San Giulio e del fratello Giuliano, il Lago d'Orta e l'isola
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |