Kasio wa Narni

Kasio wa Narni (alifariki Roma[1], 29 Juni 558 BK) anakumbukwa kama askofu wa mji huo (Italia ya Kati) kuanzia mwaka 536 hadi kifo chake[1].

Aliwahi kuoa Fausta lakini baadaye aliacha aishi kitawa[2]. Alikuwa maarufu kwa upendo wake kwa maskini hata akasifiwa na Papa Gregori I[3].[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4]

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. 1.0 1.1 1.2 ? (n.d.). St. Cassius. Catholic Online. Iliwekwa mnamo August 10, 2008.
  2. ? (n.d.). Key to Umbria. ?. Jalada kutoka ya awali juu ya January 7, 2009. Iliwekwa mnamo August 10, 2008.
  3. Dialogi, III, 6; IV, 58; Homilia in Evang., II, 37
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.