Kata (maana)
(Elekezwa kutoka Kata(Maana))
Kata ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha:
- Kata (kitenzi) – tendo la kuachanisha au kutenganisha katika vipandevipande, kwa mfano kukata mti au nyama.
- Kata (nomino) – eneo katika mji au kijiji ambalo huwa na viongozi katika ngazi hiyo ya ugatuzi.
- Kata (nomino) - chombo kinachotumika kunywea pombe za asili.
- Kata (nomino) - aina ya nguo, kitambaa au majani ambayo hutumika kujitwishia vitu vizito kichwani kama ndoo ya maji.