Katerina wa Aleksandria
Katerina wa Aleksandria (kwa Kigiriki ἡ Ἁγία Αἰκατερίνα ἡ Μεγαλομάρτυς; 282-305 hivi) alikuwa bikira Mkristo wa Aleksandria, Misri ambaye aliuawa kwa amri ya kaisari Maxentius mwanzoni mwa karne ya 4[1].

Picha takatifu ya Mt. Katerina wa Aleksandria, na vituko vya kifodini chake.
Kadiri ya mapokeo, alikuwa wa ukoo maarufu[2] tena msomi. Kisha kuongokea Ukristo akiwa na umri wa miaka 14, aliongoza watu mia kadhaa kumfuata katika dini hiyo[3].
Tangu alipofia dini anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Novemba au 25 Novemba.[4][5][6]
PichaEdit
Mchoro wa Konrad Witz.
Katerina akisoma tena, 1520 hivi.
Mchoro wa Master of the Legend of Saint Lucy, karne ya 15.
Mchoro wa Lorenzo Lotto.
Mchoro wa Hans Memling.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
- ↑ Clugnet, Léon. "St. Catherine of Alexandria." The Catholic Encyclopedia. Vol. 3. New York: Robert Appleton Company, 1908. 1 May 2013. Newadvent.org (1908-11-01). Iliwekwa mnamo 2013-08-26.
- ↑ Great Martyr Catherine of Alexandria.
- ↑ Saint Catherine of Alexandria. Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 2010-10-29.
- ↑ Calendarium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 1969), p. 147
- ↑ Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001 ISBN 88-209-7210-7)
- ↑ http://catholicsaints.info/saint-catherine-of-alexandria/
MarejeoEdit
- Allen, Prudence, The concept of woman: the Aristotelian revolution, 750 BC-AD 1250, 1997 (2nd edn.), Wm. B. Eerdmans Publishing, ISBN 978-0-8028-4270-1
- Walsh, Christine. The Cult of St Katherine of Alexandria in Early Medieval Europe, (Ashgate 2007)
Viungo vya njeEdit
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Passio sanctae Katharinae — 11th century (between 1033–1048); at Latin Wikisource
- Details of Saint Catherine's life Archived 25 Februari 2008 at the Wayback Machine. — Saint Catherine Orthodox Church; includes a gallery of icons of the saint
- St Catherine's church in Muhu island (Estonia) Archived 7 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- Representations of Saint Catherine
- St. Catherine of Alexandria at the Christian Iconography web site
- "The Life of St. Catherine, Virgin and Martyr" from the Caxton translation of the Golden Legend
- Colonnade Statue St Peter's Square
- [1]
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |