Eneo bunge la Kajiado Kaskazini
Eneo bunge la Kajiado Kaskazini ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo matano ya Kaunti ya Kajiado. Eneo lote la jimbo hili liko katika Baraza la Olkejuado county.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1966.
Wabunge
haririMwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo zaidi |
---|---|---|---|
1966 | G. K. ole Kipury | KANU | |
1969 | John Keen | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | John Keen | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | John Keen | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Philip Odupoy | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | George Saitoti | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | George Saitoti | KANU | |
1997 | George Saitoti | KANU | |
2002 | George Saitoti | KANU | |
2007 | George Saitoti | PNU |
Lolesheni na Wodi
haririLokesheni | |
Jina la Lokesheni | Idadi ya Wakazi* |
---|---|
Central Keekonyokie | 12,547 |
Isinya | 8,178 |
Kiserian | 22,635 |
Kitenkela | 23,770 |
Magadi | 6,303 |
Mosiro | 4,426 |
Nkaimoronya | 50,221 |
Ngong | 22,065 |
North Keekonyokie | 16,962 |
Oldonyo Nyoike | 3,391 |
Olkiramatian | 10,187 |
Oloolua | 24,647 |
Ongata Rongai | 33,151 |
Olturoto | 6,864 |
Shompole | 7,678 |
South Keekonyokie | 18,570 |
Jumla | x |
1999 census. |
Wodi za Udiwani | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
---|---|
Central Keekonyokie | 3,285 |
Kaputei North | 4,706 |
Kiserian | 6,226 |
Kitengela | 6,631 |
Magadi | 2,812 |
Mosiro | 1,374 |
Ngong | 8,176 |
Nkai-Murunya | 11,855 |
North Keekonyokie | 5,172 |
Olkiramatian | 1,991 |
Oloolua | 6,717 |
Ongata rongai | 9,343 |
Shompole | 1,877 |
South Keekonyokie | 4,163 |
Total | 74,328 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kajiado Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |