Kelidona
Kelidona (Cicoli, Abruzzi, Italia, 1077 hivi - Subiaco, Lazio, Italia, 13 Oktoba 1152) alikuwa bikira Mkristo aliyedumu miaka 52 katika maisha magumu ya mkaapweke karibu na monasteri ya Wabenedikto ya Subiaco, akimtumikia Mungu tu [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |