Kibodi (kutoka Kiingereza: "keyboard") ni bao la kompyuta lenye vitufe vyenye maandishi na alama mbalimbali zinazotumika kucharazia au kuendeshea programu mbalimbali.

Kibodi ya kompyuta
Kibodi ya piano ya kisasa

Kibodi ni pia sehemu ya chombo cha muziki k.v. piano, iliyo na vidude vyenye rangi vinavyobonyezwa ili kutoa sauti.