Kichina cha Hakka

(Elekezwa kutoka Kihakka ya Kichina)

Kichina ya Hakka ni lugha ya Kisino-Tibeti inayozungumzwa na Wahan, hasa upande wa kusini nchini Uchina, na pia nchini Taiwan, Malaysia, Indonesia, Uthai, Singapuri na nchi nyingi nyingine. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kichina ya Hakka imehesabiwa kuwa watu milioni 27.1. Pia kuna wasemaji 2,370,000 nchini Taiwan (1993), 1,090,000 nchini Malaysia (2000), 640,000 nchini Indonesia (1982) na tena katika nchi nyingine (angalia hapo chini). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichina ya Hakka iko katika kundi la Kichina.

Idadi ya wasemaji wa Kihakka katika nchi nyingine ni ifuatavyo:

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kichina cha Hakka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.