Kinyonga
Kinyonga | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kinyonga shingo-lisani
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Nusufamilia 2:
|
Vinyonga au vigeugeu (jina la kisayansi: Chamaeleonidae) ni aina za mijusi. Wana miguu kama kasuku, ulimi ndefu na pia spishi fulani zina pembe au uwezo wa kugeuka rangi zake. Wanapatikana katika Afrika, Madagaska, Hispania na Ureno, Kusini mwa Asia, Sri Lanka na hata Hawaii, Kalifonia na Florida, na pia wanapatikana msituni mwa mvua au jangwani.
Vinyonga wengine huwa na sumu. Kwa mfano, kinyonga wa Namakwa ana sumu kiasi cha kuweza kumpofusha binadamu.
Spishi za Afrika ya Mashariki
hariri- Chamaeleo anchietae, Kinyonga wa Angola
- Chamaeleo dilepis, Kinyonga Shingo-lisani
- Chamaeleo gracilis, Kinyonga Mwembamba
- Chamaeleo laevigatus, Kinyonga Laini
- Chamaeleo tremperi, Kinyonga wa Eldama Ravine
- Furcifer oustaleti, Kinyonga Dubwana wa Madagaska - imewasilishwa kutoka Madagaska katika Msitu wa Ngong
- Kinyongia adolfifriderici, Kinyonga wa Ituri
- Kinyongia asheorum, Kinyonga Ndevu wa Mlima Ng'iro
- Kinyongia boehmei, Kinyonga Pembe-mbili wa Taita
- Kinyongia carpenteri, Kinyonga wa Ruwenzori
- Kinyongia excubitor, Kinyonga wa Mlima Kenya
- Kinyongia fischeri, Kinyonga wa Milima Nguru
- Kinyongia magomberae, Kinyonga wa Magombera
- Kinyongia matschiei, Kinyonga Pembe-mbili wa Matschie
- Kinyongia msuyae, Kinyonga wa Msitu wa Mdandu
- Kinyongia multituberculata, Kinyonga Mgongo-miiba
- Kinyongia oxyrhina, Kinyonga Pembe-moja wa Uluguru
- Kinyongia tavetana, Kinyonga Pembe-mbili wa Kilimanjaro
- Kinyongia tenuis, Kinyonga Pembe-rovyo wa Usambara
- Kinyongia tolleyae, Kinyonga wa Kigezi
- Kinyongia uluguruensis, Kinyonga Pembe-mbili wa Uluguru
- Kinyongia uthmoelleri, Kinyonga wa Mlima Hanang
- Kinyongia vanheygeni, Kinyonga wa Milima Poroto
- Kinyongia vosseleri, Kinyonga Pembe-mbili wa Usambara
- Kinyongia xenorhina, Kinyonga Pua-mbenuko
- Rhampholeon acuminatus, Kinyonga Mdogo wa Nguru
- Rhampholeon beraduccii, Kinyonga Mdogo wa Mahenge
- Rhampholeon boulengeri, Kinyonga Mdogo wa Boulenger
- Rhampholeon moyeri, Kinyonga Mdogo wa Udzungwa
- Rhampholeon nchisiensis, Kinyonga Mdogo wa Nchisi
- Rhampholeon spinosus, Kinyonga Mdogo Pua-miiba
- Rhampholeon temporalis, Kinyonga Mdogo wa Usambara
- Rhampholeon uluguruensis, Kinyonga Mdogo wa Uluguru
- Rhampholeon viridis, Kinyonga Mdogo Kijani
- Rieppeleon brachyurus, Kinyonga Mdogo Bila Ndevu
- Rieppeleon brevicaudatus, Kinyonga Mdogo Ndevu
- Rieppeleon kerstenii, Kinyonga Mdogo wa Kenya
- Trioceros bitaeniatus, Kinyonga Mbavu-milia
- Trioceros deremensis, Kinyonga Pembe-tatu wa Usambara
- Trioceros ellioti, Kinyonga Mbavu-milia Milima
- Trioceros fuelleborni, Kinyonga Pembe-tatu wa Poroto
- Trioceros goetzei, Kinyonga wa Goetze
- Trioceros hanangensis, Kinyonga wa Mlima Hanang
- Trioceros hoehnelii, Kinyonga Helmeti-kubwa
- Trioceros incornutus, Kinyonga wa Ukinga
- Trioceros ituriensis, Kinyonga-misitu wa Ituri
- Trioceros jacksonii, Kinyonga wa Jackson
- Trioceros johnstoni, Kinyonga Pembe-tatu wa Ruwenzori
- Trioceros kinangopensis, Kinyonga wa Mlima Kinangop
- Trioceros laterispinis, Kinyonga Miiba
- Trioceros marsabitensis, Kinyonga wa Mlima Marsabit
- Trioceros melleri, Kinyonga Dubwana wa Afrika
- Trioceros narraioca, Kinyonga wa Mlima Kulal
- Trioceros ntunte, Kinyonga wa Mlima Ng'iro
- Trioceros nyirit, Kinyonga wa Cherangani
- Trioceros rudis, Kinyonga Mbavu-milia wa Ruwenzori
- Trioceros schubotzi, Kinyonga Mdogo wa Mlima Kenya
- Trioceros tempeli, Kinyonga wa Udzungwa
- Trioceros werneri, Kinyonga Pembe-tatu wa Werner
Picha
hariri-
Kinyonga mwembamba
-
Kinyonga wa Magombera
-
Kinyonga pembe-mbili wa Matschie
-
Kinyonga mgongo-miiba
-
Kinyonga pembe-mbili wa Kilimanjaro
-
Kinyonga pembe-rovyo wa Usambara
-
Kinyonga wa Milima Poroto
-
Kinyonga pembe-mbili wa Usambara
-
Kinyonga pua-mbenuko
-
Kinyonga mdogo wa Udzungwa
-
Vinyonga wadogo wa Usambara wakijamiiana
-
Kinyonga mdogo ndevu
-
Kinyonga mdogo wa Kenya
-
Kinyonga mbavu-milia
-
Kinyonga pembe-tatu wa Usambara
-
Kinyonga mbavu-milia milima
-
Kinyonga helmeti-kubwa
-
Kinyonga wa Jackson
-
Kinyonga pembe-tatu wa Ruwenzori
-
Kinyonga dubwana wa Afrika
-
Kinyonga mbavu-milia wa Ruwenzori
-
Kinyonga wa Udzungwa
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyonga kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |