Lugha za Kisemiti

(Elekezwa kutoka Kisemiti)

Lugha za Kisemiti ni kundi la lugha zinazozungumzwa na watu milioni 300 hivi katika Asia ya Magharibi, Afrika ya Kaskazini na Afrika ya Mashariki. Zinahesabiwa kama tawi la lugha za Kiafrika-Kiasia.

Maeneo yenye wasemaji wengi wa lugha za Kisemiti.

Lugha za Kisemiti leo

hariri

Lugha yenye wasemaji wengi ni Kiarabu. Wasemaji wengine wengi ni wale wanaotumia lugha za Ethiopia na Eritrea halafu Israel. Lugha hai za Kisemiti ni pamoja na:

Lugha za kihistoria

hariri

Kuna idadi kubwa ya lugha za Kisemiti zinazojulikana kama lugha za kihistoria zisizo na wasemaji tena. Kati ya lugha hizo kuna lugha za Babeli, Ashur, Kanaan, Moabu, Finisia na kwa jumla mataifa mengi zinazotajwa katika Biblia.

Viungo vya Nje

hariri