Asia ya Magharibi (inalingana kwa kiasi kikubwa na jina la Mashariki ya Kati) ni sehemu ya magharibi-kusini ya bara la Asia. Inatajwa kati ya kanda za dunia ya UM.

Asia ya Magharibi (buluu nyeusi); Mashariki ya kati: pamoja na buluu nyeupe

Nchi zinazotajwa humo ni kama zifuatazo: