Klaudina Thevenet

Klaudina Thevenet (jina la kitawa: Maria wa Mt. Ignasi; Lyon, 30 Machi 1774 – Lyon, 3 Februari 1837) alikuwa bikira wa Ufaransa aliyesukumwa na upendo mkubwa kufanya juhudi za kuanzisha shirika la “Masista wa Mioyo Mitakatifu ya Yesu na Maria" kwa ajili ya kuhudumia wasichana wa mazingira hatarishi (1815).

Mt. Klaudina alivyochorwa.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 4 Oktoba 1981, halafu mtakatifu tarehe 21 Machi 1993.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka kwenye tarehe ya kifo chake[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.