Kolmani wa Kilmacduagh

Kolmani wa Kilmacduagh (pia: Colmán mac Duach; 560 - 29 Oktoba 632) alikuwa mkaapweke wa Ireland, ambaye hatimaye alianzisha monasteri na kuwa abati-askofu wake wa kwanza [1].

Mt. Kolmani katika dirisha la kioo cha rangi.

Pengine anachanganywa na Kolmani mwingine aliyetangulia kuzaliwa hukohuko.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Oktoba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.