Leo wa Africo (karne ya 11 - karne ya 12) alikuwa mkaapweke wa Calabria, Italia Kusini, aliyejitosa katika sala na kuhudumia maskini, na hatimaye alifariki katika monasteri aliyoianzisha mwenyewe huko Africo, karibu na Reggio Calabria[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/51970
  2. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.