Lugha za Kiyolngu

kundi la lugha za Australia eneo la Arnhemland

Lugha za Kiyolngu (pia za Kiyuulngu) ni kundi la lugha ndani ya Lugha za Kipama-Nyungan nchini Australia. Katika kundi hilo kuna lahaja nyingi ambazo huainishwa katika lugha sita: Kidhangu-Djangu, Kinhangu, Kidhuwal, Kiritharngu, Kidjinang na Kidjinba. Lugha hizo zote huzungumzwa katika jimbo la Northern Territory na nyingi zimo hatarini mwa kutoweka.

Lugha za Kiyolngu upande wa Kaskazini wa Australia (rangi ya kijani)

Maneno ya msingi hariri

Kiyolngu Kiswahili
Gaga Habari
Märr-ŋamathirri Karibu
Nhämirri nhe? Habari yako?
Ga' Asante
Yok Ndio
Yaka Hapana

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kiyolngu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.