3°09′36″S 60°01′48″W / 3.16000°S 60.03000°W / -3.16000; -60.03000

Msitu wa Amazon katika nchi ya Ecuador.

Msitu wa Amazon ni msitu mkubwa uliopo katika bonde la tropiki la Mto Amazon.

Una eneo la takribani kilomita za mraba milioni saba, ambazo kati yake tano na nusu zimefunikwa na msitu wa mvua.

Msitu huo unajumuisha mataifa tisa: uko ndani ya Brazil kwa asilimia 60, ikifuatiwa na Peru asilimia 13, na Colombia asilimia 10, halafu Venezuela, Ecuador, Bolivia, Guyana, Suriname na Guyana ya Kifaransa kwa kiasi kidogo.

Pia ni msitu ambao una wanyama wengi zaidi ya misitu mingine duniani.

Viungo vya nje hariri

  Amazonia travel guide kutoka Wikisafiri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Msitu wa Amazon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.