Magofu ya Kua ni maeneo ya kihistoria ya Waswahili wa Karne za Kati yaliyopo katika kata ya Jibondo, Wilaya ya Mafia katika Mkoa wa Pwani, Tanzania.[1]

Magofu ya Kua katika kisiwa cha Juani, Wilaya ya Mafia

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. Chami, Felix A. "Further archaeological research on Mafia island." AZANIA: Journal of the British Institute in Eastern Africa 35.1 (2000): 208-214.
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Magofu ya Kua kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.