Majadiliano:Eldoret

Latest comment: miaka 14 iliyopita by Baba Tabita in topic kuunganisha miswada mitatu


Lugha hariri

Inaonekana mchangiaji hajasoma vizuri sana baada ya kutoa makala hii kwenye tafsiri ya translate.google ("familia kongwe Indian asili "?????) Kuna mifano mingine. Heri aangalie Orodha ya makosa ya kurudia mara nyingi na kusahihisha ipasavyo. --Kipala (majadiliano) 21:36, 11 Desemba 2009 (UTC)Reply

kuunganisha miswada mitatu hariri

Wakati wa KWC, makala hii ya mji wa Eldoret ilifutwa mara mbili na tafsiri mpya: tarehe 11 Desemba na tarehe 1 Desemba. Kabla ya hapo ilikuwa na makala yenye “infobox” na kadhalika. Miswada hiyo mitatu lazima iunganishwe. Poleni na kazi! --Baba Tabita (majadiliano) 16:46, 3 Januari 2010 (UTC)Reply

Return to "Eldoret" page.