Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

CaliBen (majadiliano) 07:46, 28 Agosti 2021 (UTC)Reply

Uhariri wa Makala hariri

Salamu, pitia katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Tulia_monica kwa ajili ya kuifanyia maboresho, makala ina tafsiri isiyoeleweka katika mpangilio wake,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 12:00, 9 Oktoba 2021 (UTC)Reply

https://sw.wikipedia.org/wiki/Shamita_Naidoo
maomba msaada kuna hii makala ina shida kidogo kwenye marejeo Gift mshana (majadiliano) 23:01, 30 Mei 2022 (UTC)Reply

Wakati wa kutafsiri makala kutoka kiingereza ni vyema sana kuanza kutafsiri makala katika sehemu ya mwanzo kuliko kwenda sehemu ya pili ya makala, hali inayofanya makala kutokueleweka, tazama katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Ghada_Adel kwa ajili ya maboresho, Amani SanaIdd ninga (majadiliano) 21:56, 3 Novemba 2021 (UTC)Reply

Marejeo katika kutafsiri makala hariri

Habari, Hongera kwa kutafsiri makala kutoka kingereza kwenda kiswahili. Nimeona kuna jambo unakosea ambapo hauweki viungo vya marejeo ila unaweka namba tu kama vile inavyosomeka kwenye kingereza. Tafadhali hakikisha unaweka na viungo pia. Amani kwako CaliBen (majadiliano) 10:21, 23 Aprili 2022 (UTC)Reply

sawa broo Gift mshana (majadiliano) 10:46, 23 Aprili 2022 (UTC)Reply

Uundaji wa makala hariri

Habari! hongera sana kwa kutafsiri makala za kingereza kwenda kiswahili. Nimeona kuna jambo unakosea naomba uangalie marekebisho yanayofanywa na wahariri katika makala zako ile urekebishe makosa unayoyafanya ili urekebishe amani kwako Hussein m mmbaga (majadiliano) 19:36, 23 Aprili 2022 (UTC)Reply

Mimi naona ni Kiswenglish zaidi! Legeza mwendo, hakiki lugha. Asante na amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:07, 15 Mei 2022 (UTC)Reply
Mbona husikii? Leo nakuzia kwa siku 3. Pole na amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:30, 24 Mei 2022 (UTC)Reply

Vyanzo vya Kiingereza hariri

Salamu, pitia katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Aleta_Baun , ulikuwa umeweka vyanzo ambavyo vinatokana na Wikipedia Ya Kiingereza, vyanzo au link kutoka katika makala ya Wikipedia ya Kiingereza haviwezi kutumika kama marejeo katika Wikipeidia ya Kiswahili, boresha makala hiyo, Amani Sana Idd ninga (majadiliano) 08:41, 27 Mei 2022 (UTC)Reply

Tafsiri ya Kompyuta hariri

Salamu, pitia katika maka hii hapa, Bado unaendelea kuleta tafsiri zinazotokana na Kompyuta,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 12:17, 30 Mei 2022 (UTC)Reply

sawa na iangalia broo Gift mshana (majadiliano) 12:21, 30 Mei 2022 (UTC)Reply
Taarifa ya kukuzuia!

Ndugu, imenibidi kukuzuia kwa sababu zinazotajwa chini. Wakati unapokuwa umezuiwa huwezi kuhariri isipokuwa penye huu ukurasa wako wa majadiliano. Unaweza kunijibu kwa kutumia “Email this user”.

Sababu ni kuwa umeingiza matini iliyopatikana kwa njia ya tafsiri ya kompyuta ikiwa na kasoro nzito ya lugha. Umearifiwa kwamba ni marufuku kumwaga matokeo ya google translate katika makala zetu. Wachangiaji wanaopuuza utaratibu huu wanasababisha hasara kubwa kwa Wikipedia yetu na kuwapa wengine kazi kubwa mno ya kusafisha makosa yao.

Bila shaka una nia nzuri kuchangia katika Wikipedia. Tutafurahi kushirikiana nawe lakini ni lazima ufuate utaratibu. Kazi yetu kama wakabidhi ni kulinda mradi huu.

Ukiwa tayari kufuata utaratibu pamoja na kupitia upya matini ulizozileta tayari, naomba uwasiliane nami kwa kufungua ukurasa wangu (bofya jina langu chini) na kuniandikia baruapepe kwa kubofya “Email this user” upande wa kushoto. Hapo nitaweza kukuruhusu tena. Hapo lazima uwezeshe njia kwa kufuata maelezo katika Wikipedia:Email.

Uanzishaji wa Makala iliyo chini ya Uangalizi hariri

Habari @Gift mshana,

Je ulipata shida katika namna ya kuanzisha makala uliyochini ya uangalizi?

Amani kwako.MagoTech Tanzania (majadiliano) 00:48, 15 Machi 2023 (UTC)Reply

Uandishi wa makala hariri

Habari , ndugu nafurahia mchango wako kwenye wikipedia yetu ya kiswahili hongera. Tafadhali zingatia kanunu za uandishi wa makala kwa kuweka marejeo na misamiati inayoeleweka soma muongozo hapa Wikipedia Mwongozo Hussein m mmbaga (majadiliano) 12:58, 6 Machi 2024 (UTC)Reply

  1. sawa
Gift mshana (majadiliano) 13:05, 6 Machi 2024 (UTC)Reply