Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!

Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Idd ninga (majadiliano) 07:56, 16 Januari 2021 (UTC)Reply

Kabla hujaendelea kutunga kurasa za wabunge, angalia nilivyorekebisha ukurasa wa Yusuf Hassan Abdi. Asante na amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 12:40, 4 Machi 2022 (UTC)Reply

Kuhusu Uhariri hariri

Tazama katika makala unazoanzisha, ukitaka kuwa mhariri mzuri, kwanza pitia mara kwa mara makala uliazoanisha au makala nyingine zilizoanzishwa tayari ili kuona namna gani makala hizo zinavyoonekana na ubora wake,ni vyema kutazama hilo ili kuandaaa makala itakayokuwa nzuri na kukupa uzoefu zaidi, Amani Sana Idd ninga (majadiliano) 14:19, 2 Desemba 2022 (UTC)Reply

shukrani brother. Kelvin Philipo (majadiliano) 14:28, 2 Desemba 2022 (UTC)Reply
Tazama pia katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Jackie_Buscarino, umetumia maneno kama UHUISHAJI WA FILAMU pamoja na MWENYEJI MWENZA haya maneno yana maana gani katika matumizi ya Kiswahili, na je huwa yanafaa kutumika ,Amani sana , Idd ninga (majadiliano) 14:31, 2 Desemba 2022 (UTC)Reply
Taarifa ya kukuzuia!

Ndugu, imenibidi kukuzuia kwa sababu zinazotajwa chini. Wakati unapokuwa umezuiwa huwezi kuhariri isipokuwa penye huu ukurasa wako wa majadiliano. Unaweza kunijibu kwa kutumia “Email this user”.

Sababu ni kuwa umeingiza matini iliyopatikana kwa njia ya tafsiri ya kompyuta ikiwa na kasoro nzito ya lugha. Umearifiwa kwamba ni marufuku kumwaga matokeo ya google translate katika makala zetu. Wachangiaji wanaopuuza utaratibu huu wanasababisha hasara kubwa kwa Wikipedia yetu na kuwapa wengine kazi kubwa mno ya kusafisha makosa yao.

Bila shaka una nia nzuri kuchangia katika Wikipedia. Tutafurahi kushirikiana nawe lakini ni lazima ufuate utaratibu. Kazi yetu kama wakabidhi ni kulinda mradi huu.

Ukiwa tayari kufuata utaratibu pamoja na kupitia upya matini ulizozileta tayari, naomba uwasiliane nami kwa kufungua ukurasa wangu (bofya jina langu chini) na kuniandikia baruapepe kwa kubofya “Email this user” upande wa kushoto. Hapo nitaweza kukuruhusu tena. Hapo lazima uwezeshe njia kwa kufuata maelezo katika Wikipedia:Email.

Angali pia katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Mica_Burton , kuna dalili ya uwepo wa Tafsiri ya mashine,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 18:36, 2 Desemba 2022 (UTC)Reply
Pia link kutoka katika Wikipedia ya Kiingereza hazifai kutumika katika Wikipedia ya Kiswahili kama chanzo, Tazama katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Samuel_L._Jackson , Amani Sana Idd ninga (majadiliano) 18:44, 2 Desemba 2022 (UTC)Reply
Katika link usitafsiri la sivyo link inapotea. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:16, 7 Desemba 2022 (UTC)Reply
sawa kaka,je title tu ya link ikitafsiriwa ina shida? Kelvin Philipo (majadiliano) 10:48, 7 Desemba 2022 (UTC)Reply

Interwiki hariri

HAbari Kelvin , asante kwa michango yako. Tafadhali usisahau interwiki!. Angalia Msaada:Interwiki. Kipala (majadiliano) 17:59, 6 Aprili 2023 (UTC)Reply

Ahsante Kiongozi,nitapitia taratibu. Kelvin Philipo (majadiliano) 18:03, 6 Aprili 2023 (UTC)Reply
Taarifa ya kukuzuia!

Ndugu, imenibidi kukuzuia kwa sababu zinazotajwa chini. Wakati unapokuwa umezuiwa huwezi kuhariri isipokuwa penye huu ukurasa wako wa majadiliano. Unaweza kunijibu kwa kutumia “Email this user”.

Sababu ni kuwa umeingiza matini iliyopatikana kwa njia ya tafsiri ya kompyuta ikiwa na kasoro nzito ya lugha. Umearifiwa kwamba ni marufuku kumwaga matokeo ya google translate katika makala zetu. Wachangiaji wanaopuuza utaratibu huu wanasababisha hasara kubwa kwa Wikipedia yetu na kuwapa wengine kazi kubwa mno ya kusafisha makosa yao.

Bila shaka una nia nzuri kuchangia katika Wikipedia. Tutafurahi kushirikiana nawe lakini ni lazima ufuate utaratibu. Kazi yetu kama wakabidhi ni kulinda mradi huu.

Ukiwa tayari kufuata utaratibu pamoja na kupitia upya matini ulizozileta tayari, naomba uwasiliane nami kwa kufungua ukurasa wangu (bofya jina langu chini) na kuniandikia baruapepe kwa kubofya “Email this user” upande wa kushoto. Hapo nitaweza kukuruhusu tena. Hapo lazima uwezeshe njia kwa kufuata maelezo katika Wikipedia:Email.

Pamoja na hayo naona sasa katika makala ya Paul Kingsnorth umetumia tafsiri ya google; kisehemu bila kusahihisha lugha isiyoeleweka (" changamoto zinazoletwa na ubinadamu na mwenendo wa kiwango cha ustaarabu."), sehemu nyingine kwa kuingiza lugha inayopinda maana (waziri mkuu badala ya mhariri). Kipala (majadiliano) 18:13, 6 Aprili 2023 (UTC)Reply

Nitapitia tena kiongozi. Kelvin Philipo (majadiliano) 18:22, 6 Aprili 2023 (UTC)Reply