Maksimiliani wa Lorch

Maksimiliani wa Lorch (labda katika Slovenia ya leo, karne ya 3 – katika Austria ya leo, 288) alikuwa askofu mmisionari wa eneo la Noriko katika Ulaya ya Kati (leo Austria, Slovenia na Bavaria) aliyepewa jina la "Mtume wa Noriko"[1][2].

Maksimiliani wa Lorch katika dirisha la kioo cha rangi huko Aigen, Austria Juu.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Oktoba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.