Mamerto
Mamerto (alifariki Vienne, leo nchini Ufaransa, 475 hivi) alikuwa askofu wa mji huo[1] kuanzia mwaka 462 hivi.
Katika kukabiliana na maafa ya kijamii, alianzisha siku tatu za kusali kwa fahari litania ili kujiandaa kwa sherehe ya Kupaa Bwana.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- "St. Mamertus". Catholic Encyclopedia. 9. New York: Robert Appleton Company. 1910.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |