Maria Bertila Boscardin

Maria Bertila Boscardin (jina la awali: Anna Francesca; Brendola, 6 Oktoba 1888Treviso, 20 Oktoba 1922) alikuwa bikira wa Italia kaskazini ambaye, kisha kujiunga na shirika la kitawa la Masista Walimu wa Mt. Dorotea la Vicenza, alihudumia wagonjwa hospitalini kwa upendo wa ajabu ili wapate afya wa mwili na wa roho[1].

Picha yake halisi.

Alitangazwa mwenye heri na Papa Pius XII tarehe 8 Juni 1952, halafu mtakatifu na Papa Yohane XXIII tarehe 11 Mei 1961.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri
  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-14-051312-4.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.