Maria De Mattias
Maria De Mattias (Vallecorsa, mkoa wa Lazio, Italia ya Kati, 4 Februari 1805 - Roma, 20 Agosti 1866) alikuwa bikira aliyeanzisha shirika la kitawa linaloitwa Masista Waabuduo Damu ya Kristo[1][2], ambao kwa sasa ni karibu 2,000 na wameenea hata Tanzania[3].

Sanamu yake.
Alitangazwa mwenyeheri na Papa Pius XII tarehe 1 Oktoba 1950, halafu mtakatifu na Papa Yohane Paulo II tarehe 18 Mei 2003.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
Marejeo kwa KiswahiliEdit
- R. LAURITA – Sherehe ya Uhai, Mtakatifu Maria De Mattias – tafsiri ya O. Kayombo, C.P.P.S., – ed. du Signe, Eckbolsheim 2003 – ISBN 2-7468-0994-X
Viungo vya njeEdit
- Homepage of the U.S. Province of the Sisters Adorers of the Blood of Christ
- Address Of John Paul II To The Pilgrims Who Had Come For The Canonization Of Maria De Mattias and Virginia Centurione Bracelli, Monday 19 May 2003
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |