Maria Fan Kun
Maria Fan Kun (Daji, 1884 hivi - Wangla, 28 Juni 1900) alikuwa bikira wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Mabondia pamoja na Lusia Wang Cheng, Maria Qi Yu na Maria Zheng Xu. Kisha kulelewa katika kituo cha mayatima, walichomwa kwa upanga huku wakishikana mikono kuelekea kifodini na wakifurahi kama kwa kwenda kuolewa[1].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.
Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |