Marsiali wa Limoges
Marsiali wa Limoges (aliishi karne ya 3 BK) alikuwa askofu wa kwanza wa Limoges (leo nchini Ufaransa)[1].
Maisha
haririKadiri ya wanahistoria Wakristo, chini ya kaisari Decius (250 BK), Papa Fabian alituma maaskofu 7 kutoka Roma kwenda Gallia (Ufaransa wa leo) wakahubiri Injili: Grasyano huko Tours, Trofimo huko Arles, Paulo huko Narbonne, Saturnini huko Toulouse, Denis huko Paris, Austremoni huko Clermont na Marsiali huko Limoges[2].
Tangu kale Marsiali anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3].
Picha za madirisha ya rangi anamoonekana
hariri-
Notre-Dame de La Souterraine (Creuse).
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/60000
- ↑ Bennett, S.A., "Trophimus, 1st bishop of Arles", Dictionary of Early Christian Biography, (Henry Wace, ed.), John Murray and Co., London, 1911
- ↑ Clugnet, Léon. "St. Martial." The Catholic Encyclopedia Vol. 9. New York: Robert Appleton Company, 1910. 10 January 2016
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |