Marsiano wa Kalsedonia
Marsiano wa Kalsedonia (Kuro, leo nchini Uturuki, karne ya 4 BK - Kalsedonia, leo nchini Uturuki, 388 hivi) anakumbukwa kama askari aliyejiunga na monasteri akiishi kwa toba kali kama mkaapweke katika chumba kidogo, akila jioni tu mkate mdogo na maji, akitanguliza upendo wa kindugu kwa saumu hiyo.
Theodoreto wa Kuro aliandika kirefu juu yake na mafundisho yake katika kitabu Historia ya Wamonaki[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |