Marsiali wa Limoges

(Elekezwa kutoka Martial wa Limoges)

Marsiali wa Limoges (aliishi karne ya 3 BK) alikuwa askofu wa kwanza wa Limoges (leo nchini Ufaransa)[1].

Mt. Marsiali katika ngao ya mji wa Limoges.
Sanamu yake ya karne XV, kanisa la Chamboulive.
Mt. Marsiali akimponya mtoto wa Arnulfus.

Maisha hariri

Kadiri ya wanahistoria Wakristo, chini ya kaisari Decius (250 BK), Papa Fabian alituma maaskofu 7 kutoka Roma kwenda Gallia (Ufaransa wa leo) wakahubiri Injili: Grasyano huko Tours, Trofimo huko Arles, Paulo huko Narbonne, Saturnini huko Toulouse, Denis huko Paris, Austremoni huko Clermont na Marsiali huko Limoges[2].

Tangu kale Marsiali anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Juni[4].

Picha za madirisha ya rangi anamoonekana hariri

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.