Martina wa Roma (alifariki mjini Roma, Italia, 228) alikuwa bikira Mkristo[1].

Bikira Maria na watakatifu Martina na Agnes walivyochorwa na El Greco.

Kwa sababu hiyo aliteswa akakatwa kichwa wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo, chini ya kaisari Alexander Severus.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 30 Januari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.