Martiri na Marsiano

Martiri na Marsiano (walifariki Konstantinopoli, katika Uturuki wa leo, 351 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa katika dhuluma ya kaisari Konstanti II kwa kukataa mafundisho ya Ario.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 25 Oktoba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.