Maselenda
Maselenda (Caudry, Ufaransa, 650 hivi - Caudry, 13 Novemba 670 hivi) alikuwa bikira Mkristo aliyekataa ndoa ili awe mmonaki, lakini aliuawa na mchumba aliyepangiwa na wazazi wake [1][2][3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini alivyotangazwa na askofu Vindisiani wa Cambrai.
Tazama pia
haririTanbihi
haririVyanzo
hariri- André Flament et Patrick Raguet, Histoire de Caudry : Caudry d'hier et d'aujourd'hui, Cambrai, Nord Patrimoine Éditions, 2001, 247 p. (ISBN 978-2-912961-18-1).
- Roger Caron, Jean Lefebvre, Denise Leprêtre et Patrick Raguet, Sainte Maxellende, Caudry, Comité du Centenaire de la Basilique Sainte Maxellende de Caudry, 15 septembre 1997, 48 p. (ISBN 978-2-9511708-0-3, OCLC 468041171).
- Pierre Pierrard, Histoire du Nord : Flandre, Artois, Hainaut, Picardie, Paris, Hachette, novembre 1978, 2e éd., 406 p. (ISBN 978-2-01-020306-0).
- Louis Trénard (dir.), Histoire de Cambrai, Presses universitaires de Lille, 1982
- Camille Quiévreux, Sainte Maxellende, patronne de Caudry et du Cambrésis, Cambrai, 1924, 112 pages
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |