Mbingu (Mlimba)

(Elekezwa kutoka Mbingu (kata))

Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia Mbingu


Kata ya Mbingu
Nchi Tanzania
Mkoa Morogoro
Wilaya Mlimba
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 15,180

Mbingu ni kata mojawapo ya Wilaya ya Mlimba katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania, yenye Postikodi namba 67512.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 15,180 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 22,717 [2] walioishi humo. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 13,610 waishio humo. [3]

Kuna vijiji vya Vigaeni, Chiwachiwa na Mbingu.

Wakazi wengi ni wakulima wanaolima mahindi, mpunga, ndizi, muhogo, kokoa na mengineyo.

Pia wanajihusisha na uvuvi wa samaki kwenye mito midogomidogo na mabwawa.

Makampuni yasiyo ya kiserikal yanayojihusisha na shughul za kilimo yanayopatikana Mbingu ni pamoja na KOKOAKAMIL, OLAM and JATU.

Marejeo

hariri
  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Morogoro - Kilombero DC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-06-03.
  3. "Repoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-17.
  Kata za Wilaya ya Mlimba - Mkoa wa Morogoro - Tanzania  

Ching'anda | Chisano | Chita | Idete | Igima | Kalengakelu | Kamwene | Masagati | Mbingu | Mchombe | Mlimba | Mngeta | Mofu | Namwawala | Uchindile | Utengule


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mbingu (Mlimba) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.