Mbuamaji

Eneo la Kihistoria la Kitaifa la Tanzania

Mbuamaji ni eneo la kihistoria la kitaifa linalopatikana katika kata ya Somangila, Wilaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania.[1][2]

Makaburi ya Mbuamaji katika Magofu ya Kigamboni

Kuna magofu ya mji wa kale wa Waswahili.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Contract of Restoration of Historical Structures in Kimbiji" (PDF). Iliwekwa mnamo 3 Agosti 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. de Vere Allen, James (1981). "Swahili Culture and the Nature of East Coast Settlement". The International Journal of African Historical Studies. 14 (2): 306–334. doi:10.2307/218047. JSTOR 218047.