Memno wa Viza
Memno wa Viza (alifariki Wiza, Thrakia, leo nchini Uturuki, 305 hivi) alikuwa akida wa Dola la Roma aliyepata kuwa Mkristo kwa juhudi za Severo wa Viza. Kisha kuteswa kikatili pamoja naye, alimtangulia kuwa mfiadini katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1][2].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Great Synaxaristes: (in Greek) Οἱ Ἅγιοι 38 Μάρτυρες ποὺ μαρτύρησαν στὴ Θρᾴκη. 23 Αυγούστου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/60490
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |