Mikaeli IV wa Aleksandria

Mikaeli IV wa Aleksandria (alifariki 25 Mei 1102) kuanzia mwaka 1092 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 68 wa Kanisa la Kikopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Kabla ya hapo alikuwa mmonaki katika monasteri, halafu kwa zaidi ya miaka 20 peke yake katika pango.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Juni.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.