Mkoa wa Ağrı
- Kwa makala ya mji mkuu wa mkoa huu, tafadhali fungua Ağrı.
Ağrı (Kiarmenia: Արարատի) ni jina la mkoa ulilopo mpakani-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Umepakana na Iran kwa upande wa mashariki, Kars kwa upande wa kaskazini, Erzurum kwa upande wa kaskazini-magharibi, Muş na Bitlis kwa upande wa kusini-magharibi, Van kwa upande wa kusini, na Iğdır kwa upande wa kaskazini-mashariki. Jimbo lina kilomita za mraba zipatazo 11,376. Takriban watu 571,243 wanaishi mkoani hapa (sensa ya mwaka wa 2006).
Mkoa wa Ağrı | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Ağrı nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Mashariki |
Eneo: | 11,376 (km²) |
Kodi ya Leseni: | 04 |
Kodi ya eneo: | 0{{{kodi_ya_eneo}}} |
Tovuti ya Gavana | http://www.ağrı.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/ağrı |
Wilaya zake
haririAğrı imegawanyika katika wilaya kuu 8 (wilaya kuu imkoozeshwa):
Viungo vya Nje
hariri- the provincial governorate
- (Kiingereza) Ağrı Weather Forecast Information Archived 19 Juni 2006 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ağrı kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |