Mkoa wa Erzurum
Erzurum ni jina la mkoa uliopo mjini Mashariki mwa kanda ya Anatolia huko nchini Uturuki. Umepakana na baadhi ya mikoa kama vile Kars na Ağrı kwa upande wa mashariki, Muş na Bingöl kwa upande wa kusini, Erzincan na Bayburt kwa upande wa magharibi, Rize na Artvin kwa upande wa kaskazini na Ardahan kwa upande wa kaskazini-mashariki mwa nchi. Mji mkuu wake ni Erzurum.
Mkoa wa Erzurum | |
---|---|
Maeneo ya Mkoa wa Erzurum nchini Uturuki | |
Maelezo | |
Kanda: | Kanda ya Anatolia ya Mashariki |
Eneo: | 25,066 (km²) |
Idadi ya Wakazi | 958,875 TUIK 2007 (est) |
Kodi ya Leseni: | 25 |
Kodi ya eneo: | 0442 |
Tovuti ya Gavana | http://www.erzurum.gov.tr |
Utabiri wa hali ya hewa | turkeyforecast.com/weather/erzurum |
Wilaya za mkoani hap
haririMkoa wa Erzurum umegawanyika katika wilaya 19 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
hariri- (Kituruki) Official Website of the Municipality Archived 6 Julai 2006 at the Wayback Machine.
- (Kituruki) Chamber of Commerce
- (Kiingereza) Armenian History and Presence in Erzurum
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Erzurum kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |