Mkoa wa Bubanza ni moja kati ya mikoa ya Burundi. Jumla ya wakazi ilikuwa 354,000 mwaka 2007. Eneo lake ni la 1,089 km².

Mahali pa Mkoa wa Bubanza katika Burundi

Mji mkuu ni Bubanza.

Tazama pia

hariri


Mikoa ya Burundi  
BubanzaBujumbura MjiniBujumbura VijijiniBururiCankuzoCibitokeGitegaKaruziKayanzaKirundoMakambaMuramvyaMuyingaMwaroNgoziRumongeRutanaRuyigi
+/-
  Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bubanza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.