Mkoa wa Kayanza

Mkoa wa Kayanza ni moja kati ya mikoa ya Burundi. Jumla ya wakazi ilikuwa 487,000 mwaka 2007. Eneo lake ni la 1,233 km².

Mahali pa Mkoa wa Kayanza katika Burundi

Mji mkuu ni Kayanza.

Tazama piaEdit


Mikoa ya Burundi  
BubanzaBujumbura MjiniBujumbura VijijiniBururiCankuzoCibitokeGitegaKaruziKayanzaKirundoMakambaMuramvyaMuyingaMwaroNgoziRumongeRutanaRuyigi
+/-
  Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kayanza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.