Mikoa ya Burundi
(Elekezwa kutoka Orodha ya mikoa ya Burundi)
Mikoa ya Burundi ni ngazi ya kwanza katika maeneo ya kiutawala ya nchi hii. Burundi imegawiwa kwa mikoa au "IProvense" 18. Kila mkoa umegawiwa kwa tarafa (commune) zenye vitengo vinavyoitwa "colline" yaani vilima.
Hii ni orodha ya Mikoa (kwa Kirundi: IProvense) 18 ya Burundi:
|
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ "Burundi: administrative units, extended". GeoHive. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Julai 2015. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Law, Gwillim. "Provinces of Burundi". Statoids. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Mikoa ya Burundi | |
---|---|
Bubanza • Bujumbura Mjini • Bujumbura Vijijini • Bururi • Cankuzo • Cibitoke • Gitega • Karuzi • Kayanza • Kirundo • Makamba • Muramvya • Muyinga • Mwaro • Ngozi • Rumonge • Rutana • Ruyigi | |
+/- |