Mkoa wa Bururi ni mmoja kati ya mikoa ya Burundi. Jumla ya wakazi ilikuwa 493,000 mwaka 2007. Eneo lake la km² 2,465 lilimegwa mwaka 2015 kuunda mkoa mpya wa Rumonge.

Mahali pa Mkoa wa Bururi katika Burundi kabla ya kumegwa mwaka 2015.

Mji mkuu ni Bururi.

Tazama pia hariri


Mikoa ya Burundi  
BubanzaBujumbura MjiniBujumbura VijijiniBururiCankuzoCibitokeGitegaKaruziKayanzaKirundoMakambaMuramvyaMuyingaMwaroNgoziRumongeRutanaRuyigi
+/-
  Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Bururi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.