Bujumbura Mjini

(Elekezwa kutoka Mkoa wa Bujumbura Mairie)


auto

Bujumbura Mjini (kwa Kifaransa: Bujumbura Mairie) ni kati ya wilaya 18 za Burundi. Inaundwa na mji mkuu wa nchi, Bujumbura. Wakazi ni 500,000 hivi.

Bujumbura Mairie Province
Mahali paBujumbura Mairie Province
Mahali paBujumbura Mairie Province
Nchi Burundi
Eneo
 - Jumla 86.52 km²
Idadi ya wakazi (2008 census)
 - Wakazi kwa ujumla 497,166

Historia

hariri

Iliundwa kwa kugawa Mkoa wa Bujumbura kati ya Bujumbura Mjini na Bujumbura Vijijini.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bujumbura Mjini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


3°22′44″S 29°21′39″E / 3.37889°S 29.36083°E / -3.37889; 29.36083


Mikoa ya Burundi  
BubanzaBujumbura MjiniBujumbura VijijiniBururiCankuzoCibitokeGitegaKaruziKayanzaKirundoMakambaMuramvyaMuyingaMwaroNgoziRumongeRutanaRuyigi
+/-