Bujumbura Vijijini

(Elekezwa kutoka Mkoa wa Bujumbura Rural)


auto

Bujumbura Vijijini (kwa Kifaransa: Bujumbura Rural) ni kati ya wilaya 18 za Burundi.

Bujumbura Rural Province
Mahali paBujumbura Rural Province
Mahali paBujumbura Rural Province
Nchi Bendera ya Burundi Burundi
Eneo
 - Jumla 1,319.12 km²
Idadi ya wakazi (2008 census)
 - Wakazi kwa ujumla 555,933
[1]
CAT (UTC+2)

Eneo lake linazunguka wilaya ya mji mkuu wa nchi. Wakazi wamezidi 550,000.

Historia

hariri

Iliundwa kwa kugawa Mkoa wa Bujumbura kati ya Bujumbura Mjini na Bujumbura Vijijini.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Law, Gwillim. "Provinces of Burundi". Statoids. Iliwekwa mnamo 13 Julai 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bujumbura Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


3°22′44″S 29°21′39″E / 3.37889°S 29.36083°E / -3.37889; 29.36083

Mikoa ya Burundi  
BubanzaBujumbura MjiniBujumbura VijijiniBururiCankuzoCibitokeGitegaKaruziKayanzaKirundoMakambaMuramvyaMuyingaMwaroNgoziRumongeRutanaRuyigi
+/-