Mkoa wa Ruyigi
Mkoa wa Ruyigi ni moja kati ya mikoa ya Burundi. Jumla ya wakazi ilikuwa 370,000 mwaka 2007. Eneo lake ni la 2,339 km².

Mahali pa Mkoa wa Ruyigi katika Burundi
Mji mkuu ni Ruyigi.
Tazama piaEdit
Mikoa ya Burundi | |
---|---|
Bubanza • Bujumbura Mjini • Bujumbura Vijijini • Bururi • Cankuzo • Cibitoke • Gitega • Karuzi • Kayanza • Kirundo • Makamba • Muramvya • Muyinga • Mwaro • Ngozi • Rumonge • Rutana • Ruyigi | |
+/- |
Makala hii kuhusu maeneo ya Burundi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Ruyigi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |