Mkoa wa Kinshasa ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 4,787,000. Mji mkuu ni Kinshasa.

Mkoa wa Kinshasa
Mahali paMkoa wa Kinshasa
Mahali paMkoa wa Kinshasa
Mahali pa Mkoa wa Kinshasa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Majiranukta: 02°57′S 25°57′E / 2.950°S 25.950°E / -2.950; 25.950
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Wilaya 4
Mji mkuu Kinshasa
Eneo
 - Jumla 9,965 km²
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 4,787,000

Picha za Kinshasa hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kinshasa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:



 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
 
Équateur | Ituri | Kasaï | Kasaï Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu
+/-