Mkoa wa Tshopo
jimbo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Mkoa wa Tshopo (Chopo) ni mmojawapo ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mkoa wa Tshopo | |
Mahali pa Mkoa wa Tshopo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Majiranukta: 00°31′N 25°12′E / 0.517°N 25.200°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 7 |
Mji mkuu | Kisangani |
Serikali | |
- Gouverneur | Maurice Tony Ngoy |
Eneo | |
- Jumla | 199,567 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 2,614,630 |
Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,614,630 (2005). Mji mkuu ni Kisangani. 2005
Picha za Tshopo
haririViungo vya nje
hariri- Provinceorientale.cd the Government official site for Orientale Province.
- Stanleyville.be City of Kisangani Website.
- Bamanisajean.unblog.fr is Governor Jean Bamanisa's blog site.
- @Prov_orientale Twitter for Orentale Provincial Government
- Facebook Orentale Provincial Government
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Wele Juu | |
+/- |
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Tshopo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |