Mkoa wa Kwilu
Mkoa wa Kwilu ni mmojawapo kati ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mkoa wa Kwilu |
|
![]() |
|
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Mikoa | |
Mji mkuu | Kikwit |
Eneo | |
- Jumla | 78,219 km² |
Idadi ya wakazi (2020) | |
- Wakazi kwa ujumla | 6,682,300 |
Jina linatokana na mto Kwilu unaopita mkoani kutoka kusini hadi kaskazini.
Idadi ya wakazi wake ni takriban 6,682,300.
Viungo vya nje
hariri
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Kati | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Uele Juu | |
+/- |
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Kwilu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |